{"id":5019,"date":"2026-06-21T23:55:56","date_gmt":"2026-06-21T23:55:56","guid":{"rendered":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/?post_type=module&#038;p=5019"},"modified":"2026-09-10T09:20:16","modified_gmt":"2026-09-10T09:20:16","slug":"module-5","status":"publish","type":"module","link":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/module\/module-5\/","title":{"rendered":"Kutumia sayansi ya tabia kuimarisha utambuzi na matibabu ya COVID-19 kwa makundi yaliyo katika hatari kubwa"},"content":{"rendered":"<p><strong>Imeandikwa na Tracy Epton, University of Manchester, UK, Lisa Marie Warner, MSB Medical School Berlin, Germany, and Aleksandra Lazic, an independent researcher from Belgrade, Serbia<\/strong><\/p>\n<p><span style=\"font-weight: 400;\">Kufanya kazi na wagonjwa walio katika hatari kubwa ya kupata madhara kutokana na COVID<\/span><span style=\"font-weight: 400;\">\u2011<\/span><span style=\"font-weight: 400;\">19 kunaweza kuhisi kama kuabiri mazungumzo mengi kwa wakati mmoja. Kuna maelezo ya kimatibabu tunazopaswa kuwapa wagonjwa, lakini pia kuna mambo yote ambayo mgonjwa huja nayo: imani zinazoathiriwa na utamaduni, uzoefu wao na mfumo wa afya, hofu ya unyanyapaa, ujumbe tofauti kutoka kwa mitandao ya kijamii, na shinikizo za maisha ya kila siku. Sayansi ya tabia inaweza kutusaidia kutenganisha masuala haya na kufanya mchakato mzima uwe laini zaidi, wenye huruma na wenye ufanisi.<\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-weight: 400;\">Changamoto mojawapo huanza mara tu baada ya utambuzi kutolewa. Wahudumu wengi wa afya huhofia kutoa taarifa nyeti, hasa wanapokuwa na muda mdogo au hawajui mgonjwa atachukuliaje habari hizo. Wakati huohuo, wagonjwa wanaweza kuwa na taarifa potofu kama vile \u201cvipimo si sahihi\u201d au \u201cCOVID si hatari tena\u201d, au wanaweza kuwa na wasiwasi na mfumo wa afya kutokana na uzoefu wa zamani. Wengine huogopa athari za utambuzi huo kwa kazi yao, familia au jamii.<\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-weight: 400;\">Tunapoingia katika mazungumzo haya, tunaingia katika eneo la kibinadamu, si la kitabibu pekee. Watu wanaweza kuona mazungumzo kuhusu afya yao kuwa magumu; wanaweza kuhisi kuhukumiwa, kuaibika au kuogopa kana kwamba wanaonekana kufanya maamuzi mabaya ya kiafya. Wakihisi hivyo, wanaweza kujilinda kwa kukataa hitaji la matibabu, kupunguza uzito wa ugonjwa au kuamini kuwa matibabu hayana manufaa. Tazama Hatua ya 1 katika mapendekezo kuhusu jinsi ya kuunda mazingira salama ya kutoa utambuzi, kusahihisha taarifa potofu na kupunguza hali ya kujihami.<\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-weight: 400;\">Baada ya utambuzi kueleweka, changamoto inayofuata ni motisha. Mara nyingi motisha haitokani na taarifa za hatari pekee. Wagonjwa wengi walio katika hatari kubwa, hasa wale wenye dalili hafifu au wasio na dalili, wanaweza kushindwa kuona kwa nini matibabu ya haraka ni muhimu. Wengine wana shaka kama dawa za kupunguza makali ya virusi zitawasaidia au wana wasiwasi kuhusu madhara. Wengine hawajioni kama wako katika hatari kubwa, au wana imani za kidini au kitamaduni kuhusu dawa zinazofanya uamuzi kuwa mgumu zaidi. Hata hivyo, wasiwasi huu mara nyingi unaweza kushughulikiwa kwa kutumia mbinu za kubadili tabia kama zilivyo katika Hatua ya 2.<\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-weight: 400;\">Hata mgonjwa akiwa na motisha ya kutosha, bado anaweza kukumbana na vikwazo anapoanza matibabu. Anaweza kusahau kutumia dawa, kuchanganyikiwa na maelekezo au kuwa na majukumu mengine kama kazi au familia. Pia, kujisikia vizuri baada ya siku moja au mbili kunaweza kumfanya aache dawa mapema. Ufuasi wa matibabu si suala la nia pekee; ni jinsi matibabu yanavyoendana na ratiba ya maisha ya kila siku. Hili linaweza kuimarishwa kupitia mipango ya makusudi kama ilivyo katika Hatua ya 3.<\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-weight: 400;\">Kuwasaidia wagonjwa walio katika hatari kubwa kupitia utambuzi na matibabu ya COVID<\/span><span style=\"font-weight: 400;\">\u2011<\/span><span style=\"font-weight: 400;\">19 hufanya kazi vizuri zaidi pale ambapo sayansi ya tabia inachanganywa na uelewa wa kitamaduni. Mapendekezo yafuatayo yanapaswa kuzingatia misingi yote miwili.<\/span><\/p>\n<p><b>Hatua ya 1: Tengeneza mazingira salama na yenye heshima unapotoa utambuzi.\u00a0<\/b><\/p>\n<p><span style=\"font-weight: 400;\">Anza kwa kuthibitisha nguvu au thamani za mgonjwa ili kupunguza hali ya kujihami na kujenga uhusiano<\/span><a href=\"https:\/\/doi.org\/10.1037\/hea0000116\"><span style=\"font-weight: 400;\">. Mbinu ya \u201cuthibitisho\u201d<\/span><\/a><span style=\"font-weight: 400;\"> inahusisha kumsaidia mgonjwa kutafakari kwa kifupi kuhusu nguvu zake binafsi na majukumu muhimu anayoyashika maishani, kama vile kuwa mwenzi mwema, mzazi anayejali au mfanyakazi mwaminifu, badala ya kuzingatia changamoto ya kuambukizwa. Hii inaweza kuimarisha kujiamini na kuongeza uwezekano wa kukubali utambuzi na hatua zinazofuata za matibabu. Taarifa potofu zinapotokea, zisahihishe kwa utulivu kwa kutumia \u201csandwichi ya ukweli\u201d: <\/span><a href=\"https:\/\/repository.essex.ac.uk\/29625\/1\/The%20COVID-19%20Vaccine%20Communication%20Handbook.pdf\"><span style=\"font-weight: 400;\">anza na ukweli, taja kwa kifupi dhana potofu, eleza kwa nini si sahihi, kisha rudi kwenye ukweli<\/span><\/a><span style=\"font-weight: 400;\">. <\/span><a href=\"https:\/\/doi.org\/10.17061\/phrp3112105\"><span style=\"font-weight: 400;\">Ni muhimu kuweka maelezo rahisi na yanayohusiana na tamaduni za mgonjwa<\/span><\/a><span style=\"font-weight: 400;\">, hasa kwa wagonjwa wenye uelewa mdogo wa afya au ujuzi mdogo wa lugha.<\/span><\/p>\n<p><b>Hatua ya 2: Tumia mbinu wazi na zenye mvuto kuimarisha motisha.\u00a0<\/b><\/p>\n<p><a href=\"https:\/\/doi.org\/10.1007\/s11606-016-3685-3\"><span style=\"font-weight: 400;\">Mbinu za mahojiano ya kuhamasisha<\/span><\/a><span style=\"font-weight: 400;\"> kama maswali ya wazi, kusikiliza kwa kutafakari na uthibitisho zinaweza kuwasaidia wagonjwa kutambua sababu zao wenyewe za kuzingatia matibabu, jambo ambalo huwa na ufanisi zaidi kuliko kushawishi moja kwa moja. <\/span><a href=\"https:\/\/doi.org\/10.1016\/j.pec.2023.107752\"><span style=\"font-weight: 400;\">Hadithi fupi<\/span><\/a><span style=\"font-weight: 400;\"> kuhusu uzoefu wa mgonjwa mwingine au <\/span><a href=\"https:\/\/doi.org\/10.1177\/0018720817690634\"><span style=\"font-weight: 400;\">vielelezo<\/span><\/a><span style=\"font-weight: 400;\"> kama infografiki zinazoonyesha tofauti ya mzigo wa virusi ukiwa na matibabu na bila matibabu vinaweza kusaidia kueleza umuhimu wa matibabu ya mapema na kufanya hatari ya kuzorota iwe dhahiri zaidi. Wagonjwa wanaweza pia kuhamasishwa kupima faida na hasara za matibabu, <\/span><a href=\"https:\/\/doi.org\/10.1007\/s12160-013-9486-6\"><span style=\"font-weight: 400;\">wakizingatia si afya yao tu bali pia athari kwa watu wanaowategemea<\/span><\/a><span style=\"font-weight: 400;\">. Kwa wazee hasa, <\/span><a href=\"https:\/\/journals.sagepub.com\/doi\/pdf\/10.1177\/09637214211011468?casa_token=aEdlmPSHueUAAAAA:DdR-OMhh_KoihduLSQgSRLg39bB14Xez_e21OhmojPixdhyC3chyzPxDLM6davjBCxkSIYjHkFIt\"><span style=\"font-weight: 400;\">faida za haraka na zenye uzito wa kihisia kama kupona mapema<\/span><\/a><span style=\"font-weight: 400;\"> ili kushiriki shughuli za kifamilia huwa na nguvu zaidi kuliko malengo ya muda mrefu ya kiafya.<\/span><\/p>\n<p><b>Hatua ya 3: Saidia ufuasi wa matibabu kupitia mipango ya vitendo.\u00a0<\/b><\/p>\n<p><span style=\"font-weight: 400;\">Fanya kazi na mgonjwa kuunda <\/span><a href=\"https:\/\/doi.org\/10.1080\/10410236.2017.1331305\"><span style=\"font-weight: 400;\">mpango wa vitendo<\/span><\/a><span style=\"font-weight: 400;\"> kuhusu mahali dawa zitahifadhiwa, muda wa dozi utakavyolingana na ratiba ya kila siku na vihisishi vitakavyowakumbusha. Hii hufanya ufuasi kuwa rahisi na usiotegemea kumbukumbu pekee. <\/span><a href=\"https:\/\/doi.org\/10.1080\/10463283.2024.2334563\"><span style=\"font-weight: 400;\">Mbinu<\/span><\/a><span style=\"font-weight: 400;\"> za \u201cikiwa\u2026 basi\u2026\u201d husaidia kudumisha matibabu hata ratiba zinapobadilika. Vitenge vya kupanga dawa, alamu na vihisishi vya kuona vinaimarisha ufuasi. Unaweza pia kuwasaidia wagonjwa kutatua changamoto kwa kutambua vikwazo vinavyoweza kujitokeza na suluhisho zinazowezekana mapema. Wahimize kutafuta msaada kutoka kwa watu wao wa karibu, ambao mara nyingi huwa tayari kusaidia.<\/span><\/p>\n<p><span style=\"font-weight: 400;\">Imetafsiriwa na Mercy Mukoya <\/span><\/p>\n","protected":false},"featured_media":5172,"template":"","meta":{"_et_pb_use_builder":"","_et_pb_old_content":"","_et_gb_content_width":"","_uf_show_specific_survey":0,"_uf_disable_surveys":false},"class_list":["post-5019","module","type-module","status-publish","has-post-thumbnail","hentry"],"translation":{"provider":"WPGlobus","version":"3.0.5","language":"sw","enabled_languages":["en","id","my","bg","zh","hr","cz","da","de","es","fr","gr","he","it","ja","kr","lv","lt","hu","nl","no","pl","pt","ro","ru","sk","sr","fi","et","sv","tr","uk","hi","sw","ta"],"languages":{"en":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"id":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"my":{"title":false,"content":false,"excerpt":false},"bg":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"zh":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"hr":{"title":false,"content":false,"excerpt":false},"cz":{"title":false,"content":false,"excerpt":false},"da":{"title":false,"content":false,"excerpt":false},"de":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"es":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"fr":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"gr":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"he":{"title":false,"content":false,"excerpt":false},"it":{"title":false,"content":false,"excerpt":false},"ja":{"title":false,"content":false,"excerpt":false},"kr":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"lv":{"title":false,"content":false,"excerpt":false},"lt":{"title":false,"content":false,"excerpt":false},"hu":{"title":false,"content":false,"excerpt":false},"nl":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"no":{"title":false,"content":false,"excerpt":false},"pl":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"pt":{"title":false,"content":false,"excerpt":false},"ro":{"title":false,"content":false,"excerpt":false},"ru":{"title":false,"content":false,"excerpt":false},"sk":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"sr":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"fi":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"et":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"sv":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"tr":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"uk":{"title":false,"content":false,"excerpt":false},"hi":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"sw":{"title":true,"content":true,"excerpt":false},"ta":{"title":true,"content":true,"excerpt":false}}},"aioseo_notices":[],"aioseo_head":"\n\t\t<!-- All in One SEO 5.0.1.1 - aioseo.com -->\n\t<meta name=\"description\" content=\"{:en}By Tracy Epton, University of Manchester, UK, Lisa Marie Warner, MSB Medical School Berlin, Germany, and Aleksandra Lazic, an independent researcher from Belgrade, Serbia Working with high\u2011risk patients around COVID\u201119 can feel like navigating several conversations at once. There\u2019s the clinical information we need to share, of course, but there\u2019s also everything patients bring with\" \/>\n\t<meta name=\"robots\" content=\"max-image-preview:large\" \/>\n\t<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/module\/module-5\/\" \/>\n\t<meta name=\"generator\" content=\"All in One SEO (AIOSEO) 5.0.1.1\" \/>\n\t\t<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n\t\t<meta property=\"og:site_name\" content=\"Practical Health Psychology - Translating research to practice, one blog post at a time\" \/>\n\t\t<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n\t\t<meta property=\"og:title\" content=\"Kutumia sayansi ya tabia kuimarisha utambuzi na matibabu ya COVID-19 kwa makundi yaliyo katika hatari kubwa - Practical Health Psychology\" \/>\n\t\t<meta property=\"og:description\" content=\"{:en}By Tracy Epton, University of Manchester, UK, Lisa Marie Warner, MSB Medical School Berlin, Germany, and Aleksandra Lazic, an independent researcher from Belgrade, Serbia Working with high\u2011risk patients around COVID\u201119 can feel like navigating several conversations at once. There\u2019s the clinical information we need to share, of course, but there\u2019s also everything patients bring with\" \/>\n\t\t<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/module\/module-5\/\" \/>\n\t\t<meta property=\"article:published_time\" content=\"2026-06-21T23:55:56+00:00\" \/>\n\t\t<meta property=\"article:modified_time\" content=\"2026-09-10T09:20:16+00:00\" \/>\n\t\t<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n\t\t<meta name=\"twitter:title\" content=\"Kutumia sayansi ya tabia kuimarisha utambuzi na matibabu ya COVID-19 kwa makundi yaliyo katika hatari kubwa - Practical Health Psychology\" \/>\n\t\t<meta name=\"twitter:description\" content=\"{:en}By Tracy Epton, University of Manchester, UK, Lisa Marie Warner, MSB Medical School Berlin, Germany, and Aleksandra Lazic, an independent researcher from Belgrade, Serbia Working with high\u2011risk patients around COVID\u201119 can feel like navigating several conversations at once. There\u2019s the clinical information we need to share, of course, but there\u2019s also everything patients bring with\" \/>\n\t\t<script type=\"application\/ld+json\" class=\"aioseo-schema\">\n\t\t\t{\"@context\":\"https:\\\/\\\/schema.org\",\"@graph\":[{\"@type\":\"BreadcrumbList\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/practicalhealthpsychology.com\\\/sw\\\/module\\\/module-5\\\/#breadcrumblist\",\"itemListElement\":[{\"@type\":\"ListItem\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/practicalhealthpsychology.com\\\/sw#listItem\",\"position\":1,\"name\":\"Home\",\"item\":\"https:\\\/\\\/practicalhealthpsychology.com\\\/sw\",\"nextItem\":{\"@type\":\"ListItem\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/practicalhealthpsychology.com\\\/sw\\\/module\\\/module-5\\\/#listItem\",\"name\":\"Kutumia sayansi ya tabia kuimarisha utambuzi na matibabu ya COVID-19 kwa makundi yaliyo katika hatari kubwa\"}},{\"@type\":\"ListItem\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/practicalhealthpsychology.com\\\/sw\\\/module\\\/module-5\\\/#listItem\",\"position\":2,\"name\":\"Kutumia sayansi ya tabia kuimarisha utambuzi na matibabu ya COVID-19 kwa makundi yaliyo katika hatari kubwa\",\"previousItem\":{\"@type\":\"ListItem\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/practicalhealthpsychology.com\\\/sw#listItem\",\"name\":\"Home\"}}]},{\"@type\":\"Organization\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/practicalhealthpsychology.com\\\/sw\\\/#organization\",\"name\":\"Practical Health Psychology\",\"description\":\"Translating research to practice, one blog post at a time\",\"url\":\"https:\\\/\\\/practicalhealthpsychology.com\\\/sw\\\/\"},{\"@type\":\"WebPage\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/practicalhealthpsychology.com\\\/sw\\\/module\\\/module-5\\\/#webpage\",\"url\":\"https:\\\/\\\/practicalhealthpsychology.com\\\/sw\\\/module\\\/module-5\\\/\",\"name\":\"Kutumia sayansi ya tabia kuimarisha utambuzi na matibabu ya COVID-19 kwa makundi yaliyo katika hatari kubwa - Practical Health Psychology\",\"description\":\"{:en}By Tracy Epton, University of Manchester, UK, Lisa Marie Warner, MSB Medical School Berlin, Germany, and Aleksandra Lazic, an independent researcher from Belgrade, Serbia Working with high\\u2011risk patients around COVID\\u201119 can feel like navigating several conversations at once. There\\u2019s the clinical information we need to share, of course, but there\\u2019s also everything patients bring with\",\"inLanguage\":\"sw-TZ\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/practicalhealthpsychology.com\\\/sw\\\/#website\"},\"breadcrumb\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/practicalhealthpsychology.com\\\/sw\\\/module\\\/module-5\\\/#breadcrumblist\"},\"image\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"url\":\"https:\\\/\\\/practicalhealthpsychology.com\\\/wp-content\\\/uploads\\\/2026\\\/06\\\/module-5.jpeg\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/practicalhealthpsychology.com\\\/sw\\\/module\\\/module-5\\\/#mainImage\",\"width\":2048,\"height\":1366},\"primaryImageOfPage\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/practicalhealthpsychology.com\\\/sw\\\/module\\\/module-5\\\/#mainImage\"},\"datePublished\":\"2026-06-21T23:55:56+00:00\",\"dateModified\":\"2026-09-10T09:20:16+00:00\"},{\"@type\":\"WebSite\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/practicalhealthpsychology.com\\\/sw\\\/#website\",\"url\":\"https:\\\/\\\/practicalhealthpsychology.com\\\/sw\\\/\",\"name\":\"Practical Health Psychology\",\"description\":\"Translating research to practice, one blog post at a time\",\"inLanguage\":\"sw-TZ\",\"publisher\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/practicalhealthpsychology.com\\\/sw\\\/#organization\"}}]}\n\t\t<\/script>\n\t\t<!-- All in One SEO -->\n\n","aioseo_head_json":{"title":"Kutumia sayansi ya tabia kuimarisha utambuzi na matibabu ya COVID-19 kwa makundi yaliyo katika hatari kubwa - Practical Health Psychology","description":"{:en}By Tracy Epton, University of Manchester, UK, Lisa Marie Warner, MSB Medical School Berlin, Germany, and Aleksandra Lazic, an independent researcher from Belgrade, Serbia Working with high\u2011risk patients around COVID\u201119 can feel like navigating several conversations at once. There\u2019s the clinical information we need to share, of course, but there\u2019s also everything patients bring with","canonical_url":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/module\/module-5\/","robots":"max-image-preview:large","keywords":"","webmasterTools":{"miscellaneous":""},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"BreadcrumbList","@id":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/module\/module-5\/#breadcrumblist","itemListElement":[{"@type":"ListItem","@id":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw#listItem","position":1,"name":"Home","item":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw","nextItem":{"@type":"ListItem","@id":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/module\/module-5\/#listItem","name":"Kutumia sayansi ya tabia kuimarisha utambuzi na matibabu ya COVID-19 kwa makundi yaliyo katika hatari kubwa"}},{"@type":"ListItem","@id":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/module\/module-5\/#listItem","position":2,"name":"Kutumia sayansi ya tabia kuimarisha utambuzi na matibabu ya COVID-19 kwa makundi yaliyo katika hatari kubwa","previousItem":{"@type":"ListItem","@id":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw#listItem","name":"Home"}}]},{"@type":"Organization","@id":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/#organization","name":"Practical Health Psychology","description":"Translating research to practice, one blog post at a time","url":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/"},{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/module\/module-5\/#webpage","url":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/module\/module-5\/","name":"Kutumia sayansi ya tabia kuimarisha utambuzi na matibabu ya COVID-19 kwa makundi yaliyo katika hatari kubwa - Practical Health Psychology","description":"{:en}By Tracy Epton, University of Manchester, UK, Lisa Marie Warner, MSB Medical School Berlin, Germany, and Aleksandra Lazic, an independent researcher from Belgrade, Serbia Working with high\u2011risk patients around COVID\u201119 can feel like navigating several conversations at once. There\u2019s the clinical information we need to share, of course, but there\u2019s also everything patients bring with","inLanguage":"sw-TZ","isPartOf":{"@id":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/#website"},"breadcrumb":{"@id":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/module\/module-5\/#breadcrumblist"},"image":{"@type":"ImageObject","url":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/wp-content\/uploads\/2026\/06\/module-5.jpeg","@id":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/module\/module-5\/#mainImage","width":2048,"height":1366},"primaryImageOfPage":{"@id":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/module\/module-5\/#mainImage"},"datePublished":"2026-06-21T23:55:56+00:00","dateModified":"2026-09-10T09:20:16+00:00"},{"@type":"WebSite","@id":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/#website","url":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/","name":"Practical Health Psychology","description":"Translating research to practice, one blog post at a time","inLanguage":"sw-TZ","publisher":{"@id":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/#organization"}}]},"og:locale":"en_US","og:site_name":"Practical Health Psychology - Translating research to practice, one blog post at a time","og:type":"article","og:title":"Kutumia sayansi ya tabia kuimarisha utambuzi na matibabu ya COVID-19 kwa makundi yaliyo katika hatari kubwa - Practical Health Psychology","og:description":"{:en}By Tracy Epton, University of Manchester, UK, Lisa Marie Warner, MSB Medical School Berlin, Germany, and Aleksandra Lazic, an independent researcher from Belgrade, Serbia Working with high\u2011risk patients around COVID\u201119 can feel like navigating several conversations at once. There\u2019s the clinical information we need to share, of course, but there\u2019s also everything patients bring with","og:url":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/module\/module-5\/","article:published_time":"2026-06-21T23:55:56+00:00","article:modified_time":"2026-09-10T09:20:16+00:00","twitter:card":"summary_large_image","twitter:title":"Kutumia sayansi ya tabia kuimarisha utambuzi na matibabu ya COVID-19 kwa makundi yaliyo katika hatari kubwa - Practical Health Psychology","twitter:description":"{:en}By Tracy Epton, University of Manchester, UK, Lisa Marie Warner, MSB Medical School Berlin, Germany, and Aleksandra Lazic, an independent researcher from Belgrade, Serbia Working with high\u2011risk patients around COVID\u201119 can feel like navigating several conversations at once. There\u2019s the clinical information we need to share, of course, but there\u2019s also everything patients bring with"},"aioseo_meta_data":{"post_id":"5019","title":null,"description":null,"keywords":null,"keyphrases":{"focus":{"keyphrase":"","score":0,"analysis":{"keyphraseInTitle":{"score":0,"maxScore":9,"error":1}}},"additional":[]},"primary_term":null,"canonical_url":null,"og_title":null,"og_description":null,"og_object_type":"default","og_image_type":"default","og_image_url":null,"og_image_width":null,"og_image_height":null,"og_image_custom_url":null,"og_image_custom_fields":null,"og_video":"","og_custom_url":null,"og_article_section":null,"og_article_tags":null,"twitter_use_og":false,"twitter_card":"default","twitter_image_type":"default","twitter_image_url":null,"twitter_image_custom_url":null,"twitter_image_custom_fields":null,"twitter_title":null,"twitter_description":null,"schema":{"blockGraphs":[],"customGraphs":[],"default":{"data":{"Article":[],"Course":[],"Dataset":[],"FAQPage":[],"Movie":[],"Person":[],"Product":[],"ProductReview":[],"Car":[],"Recipe":[],"Service":[],"SoftwareApplication":[],"WebPage":[]},"graphName":"WebPage","isEnabled":true},"graphs":[]},"schema_type":"default","schema_type_options":null,"pillar_content":false,"robots_default":true,"robots_noindex":false,"robots_noarchive":false,"robots_nosnippet":false,"robots_nofollow":false,"robots_noimageindex":false,"robots_noodp":false,"robots_notranslate":false,"robots_max_snippet":"-1","robots_max_videopreview":"-1","robots_max_imagepreview":"large","priority":null,"frequency":"default","local_seo":null,"breadcrumb_settings":null,"limit_modified_date":false,"ai":{"faqs":[],"keyPoints":[],"schemas":[],"titles":[],"descriptions":[],"socialPosts":{"email":{"subject":"","preview":"","content":""},"linkedin":[],"twitter":[],"facebook":[],"instagram":[]}},"created":"2026-06-22 10:57:57","updated":"2026-09-10 10:06:50","seo_analyzer_scan_date":null,"focus_keyword":null,"additional_keywords":null,"truseo_locale":null},"aioseo_breadcrumb":"<div class=\"aioseo-breadcrumbs\"><span class=\"aioseo-breadcrumb\">\n\t\t\t<a href=\"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\" title=\"Home\">Home<\/a>\n\t\t<\/span><span class=\"aioseo-breadcrumb-separator\">&raquo;<\/span><span class=\"aioseo-breadcrumb\">\n\t\t\tKutumia sayansi ya tabia kuimarisha utambuzi na matibabu ya COVID-19 kwa makundi yaliyo katika hatari kubwa\n\t\t<\/span><\/div>","aioseo_breadcrumb_json":[{"label":"Home","link":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw"},{"label":"Kutumia sayansi ya tabia kuimarisha utambuzi na matibabu ya COVID-19 kwa makundi yaliyo katika hatari kubwa","link":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/module\/module-5\/"}],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/module\/5019","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/module"}],"about":[{"href":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/module"}],"wp:featuredmedia":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media\/5172"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/practicalhealthpsychology.com\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=5019"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}